Huduma ya Garage – Jimbo Katoliki la Iringa

Jimbo Katoliki la Iringa linatoa huduma ya Garage kwa lengo la kuhakikisha usalama, ufanisi na uimara wa vyombo vya usafiri vinavyotumika katika taasisi, parokia, na jamii. Tunatoa matengenezo ya kitaalamu ikiwemo:

  • Matengenezo ya kawaida ya magari

  • Ukaguzi wa kiufundi

  • Marekebisho ya injini na mifumo ya umeme

  • Huduma za breki, matairi na mifumo ya dharura

Kazi zote zinafanywa na mafundi wenye ujuzi, wakitumia zana na vifaa vya kisasa, huku tukizingatia ubora, uaminifu na maadili ya huduma.

Mawasiliano:
📍 Anuani: Jimbo Katoliki la Iringa
📞 Simu: +255 767873842
📧 Barua pepe: garage@iringadiocese.org

Kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu

Kanisa kuu la dayosisi hiyo lipo Iringa kilomita chache kutoka katikati ya jiji eneo la Kihesa.