Pd. Dominic Ndolla IMC - Paroko

CONSOLATA - MSHINDO
S.L.P 170 IRINGA – Ilianza ...
Msimamizi wa Parokia ni Bikira Maria Consolata.
Sikukuu ni 20/06
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 5.
+255 766 099 385

Historia ya Parokia:

Kijiografia parokia hii iko upande wa kusini magharibi toka makao makuu ya jimbo letu la iringa. Parokia zinazopakana ni Kihesa upande wa mashariki, ipogolo iko wa kusini na parokia ya tosamanga iko upande wa magharibi

Kuhusu Parokia

Kuanzishwa kwa Parokia ya Consolata

Parokia yetu inaitwa bikira maria consolata sababu ya kuitwa hivyo ni kutokana na walioianzishwa na wamisionari wa shirika la waconsolata ambao walikuwa mapdre, mabraza na masister. Parokia hii ilianzishwa mwaka 1938 kama kigango kilichokuwa chini ya parokia ya Tosamaganga.

Mapadri Waliohudumia Parokia ya Consolata Toka ... -2021

Pd Dominic Ndolla IMC, paroko mpaka sasa

Wakristo Waanzilishi wa Parokia

Wakristo waanzilishi wa Parokia ya Mshindo

Vigango

Parokia ina vigango vifuatavyo: Mshindo, Kihodombi, Mapogoro, Kiwele, Mfyome, Kitapilimwa, …

Vitongoji.

 

.

Masista Wazawa.

Mpadre wazawa: Pd. Leonard Maliva, Pd. Sosthenes Kibiki (R.I.P.), Pd. Festo Kitosi

Watawa wazawa:

Et ligula sit quam, sapien lorem. Nec risus lorem vestibulum mi facilisis. Tincidunt urna accumsan nec, risus fermentum.

Senectus erat sem tincidunt mi duis vehicula, est diam molestie.
Mauris in ut eget wisi, et mollis bibendum nulla, amet malesuada.