Uweza Watoka Juu.
Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa
BISHOP OF IRINGA
Welcome to the Diocese of Iringa Official Website. For Events and News CLICK button below…
Moyo Mtakatifu wa Yesu
Events and News
Ofisi ya habari Jimbo
Askofu Tarcisius J.M Ngalalekumtwa alizalkiwa tarehe 25.10.1948 katika kijiji cha Banawanu kilichopo Parokiani Tosamaganga. Wazazi wake ni Joseph Ngalalekumtwa na Mama ni Magdalena Sekutika.
Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki la Iringa hivi karibuni amezindua
Zaidi ya watoto 700 wabatizwa Parokia ya Kihesa
Zaidi ya watoto 700 kutoka katika vigango saba (7) vya Parokia ya Kihesa
Zaidi ya watoto 700 wabatizwa Parokia ya Kihesa
Zaidi ya watoto 700 kutoka katika vigango saba (7) vya Parokia ya Kihesa
Mhashamu Baba Askofu Ngalalekumtwa azindua miaka 50 ya WAWATA Jimbo
MHASHAMU Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa amezindua Yubilei ya Miaka 50 ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwa
Zaburi 4:1
Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Umenifanyizia nafasi wakati wa shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.
Join Our Mission to
Improve The Future For all
The diocese of Iringa gained a new experience and awareness of the whole message of the Church in our day. And that Message is to spread the Word of God, to sanctify and lead men to Christ so that God may be all in all.
Engaging God's world
through faith.
Romans 10:9 If you declare with your mouth, “Jesus is Lord,” and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.
Donate
Now
Teach A
Class
Be A
Volunteer
Sponsor
A Project
Maaskofu na Mapadre - Jimbo la Iringa
Si ninyi mlionichangua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi . Yn 15:16
Askofu Attilio Betramino, I.M.C
Askofu wa Kwanza, 1935/ 1965
Askofu Mkuu Mario A. Mgulunde
Askofu wa pili, 1970/ 1985
Askofu Mkuu Nobert W. Mtega
Askofu wa Tatu, 1985/ 1992
P. Titus Fumbe
Upadrisho Tosamaganga, 15/08/1945. Kurudi kwa Baba 29/11/1979.
P. Roderigo Kilongumtwa
Upadrisho Tosamaganga, 15/08/1947. Kurudi kwa Baba 13/09/1988.
P. Henry Chelula
Upadrisho Tosamaganga, 15/08/1951. Kurudi kwa Baba 06/03/1983.
P. Benedict Mponzi
Upadrisho Tosamaganga, 15/08/1952. Kurudi kwa Baba 06/12/1981.
P. Joseph Kibegenza
Upadrisho Tosamaganga, 17/01/1954. Kurudi kwa Baba 30/03/2002.
P. Charles Mpesa
Upadrisho Tosamaganga, 17/01/1954. Kurudi kwa Baba 09/08/2008.
P. Alois Kililimbi
Upadrisho Tosamaganga, 18/08/1956. Kurudi kwa Baba 22/12/2003.
P. Anthony Chonya
Upadrisho Malangali, 15/08/1957. Kurudi kwa Baba 23/01/2015.
P. Stanislaus Daki, V.G.
Upadrisho Malangali, 15/08/1959. Kurudi kwa Baba 17/04/2003.