Pd. Stanislaus Mhumbila - Paroko

WASA
S.L.P 1218 IRINGA – Ilianza mwaka 1929
sikukuu ya msimamizi ni tarehe 03/12.
Msimamizi wa Parokia ni Mtakatifu Francisco Xaveri.
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 86.

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2