Call Us:+255 752 84 02 70
HISTORIA FUPI
Eneo la Nyabula kama Parokia lilikuwa ni eneo lote la Udzungwa yakiwemo maeneo ambayo baadaye yalitengwa na kufanywa parokia. Maeneo hayo ni Kilolo, Usokami, Ng’ingula na Madege. Hata hivyo eneo letu bado ni kubwa na lina vigango
2021
Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2.