Shule za msingi.
- Little Flower , shule inapatikana Parokia ya Kilolo, mawasiliano 0745124629
- Mary Queen of hope, namba za usajili EM.20377, shule ipo maeneo ya Viwengi na inamilikiwa na Shirika la Watawa Mary Queen of hope, mawasiliano 0768639469. Ilianzishwa mwaka 2023
- Felix, shule inapatikana Parokia ya Ilula ina namba za usajili EM 17575, mawasiliano 0762250992. Ilianzishwa mwaka 2018.
- Ambrose, shule inapatikana Isimila, ina namba za usajili EM 18997, mawasiliano 0735959592. Ilianzishwa mwaka 2021.
- Charles, shule inamilikiwa na Masista wa St. Charles Borromeo, inapatikana Don Bosco Iringa, namba zake za usajili ni IR. 01/3/005, namba za mawasiliano 0789613488. Ilianishwa mwaka 1999.
- Dominic Savio, shule inamilikiwa na Jimbo la Iringa,ipo maeneo ya Wilolesi ina namba za usajili IR.01/3/E.A 010 mawasiliano 0758674874. Ilianzishwa mwaka 2005.
- Dominic Savio Kigonzile, shule inamilikiwa na Jimbo la Iringa, ipo maeneo ya Kigonzile namba za usajili EM.17667. Ilianzishwa mwaka 2018.
- Dominic Ngelewala, shule inamilikiwa na Jimbo la Iringa, ipo maeneo ya Ngelewala namba za usajili ni EM.19684, namba za mawasiliano 0652283630. Ilianzishwa mwaka 2022.
- Dominic Mkimbizi, shule inamilikiwa na Jimbo la Iringa, ipo maeneo ya Mkimbizi namba za usajili EM.17611, namba za mawasiliano 0764416743. Ilianzishwa mwaka 2018.
- Francis Xavery, shule inamilikiwa na Parokia ya Wasa, inapatikana maeneo ya Parokia ya Wasa- Iringa DC, namba za usajili ni EM 19720, namba za mawasiliano 0754545595. Ilianzishwa mwaka 2024.
- Joseph Kibwabwa, shule inamilikiwa na Parokia ya Ipogolo yenye namba za usajili EM. 20004, namba za mawasiliano 0752122682.
- Thomas Nyabula, shule inamilikiwa na Parokia ya Nyabula ina namba za usajili EM 19401, mawasiliano 0746299206.
.
