Pd. John Msongo - Paroko Ipogolo

IPOGOLO
S.L.P 133 IRINGA – Ilianza 1996
Msimamizi wa Parokia ni Mt.Yosefu Mfanyakazi.
Sikukuu ni 01/05
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 6.
+255 752 550 707

Historia ya Parokia:

Parokia ya Ipogolo ipo umbali wa km 8 kwenda Jimboni, Parokia ipo upande wa kusini Mashariki ya makao makuu ya jimbo. Parokia inapakana na Parokia zifuatazo: a] Parokia ya Konsolata [b] Parokia ya Tosamaganga [c] Kihesa [d] Ilole [e] Nyabula.Parokia in wakazi wapatao 24,669. Wakatoliki wapo 6,727. Katika Parokia kuna madhehebu ya Lutherani,Evangelist Assemblies of God, Anglikana,Pentekoste,Moravian,Tanzania Assemblies of God,Jeshi la wokovu, Mashahidi wa yehova, na Waislamu.

 

Kuhusu Parokia

Kuannzishwa kwwa Parokia ya Ipogolo

Parokia ilianza 30/09/1996.Mwanzilishi wake ni Padri Paulo Msombe na ndiye Paroko wa kwanza wa Parokia. Mwanzilishi alitoka paroko ya Kihesa.Waliompokea ni Halmashauri ya walei na maketekista. Mwanzilishi hakupata shida yoyote katika kupokelewa na wenyeji. Parokia ya Ipogolo ni zao la Parokia ya Konsolata Iringa mjini.Kilikuwa kigango cha Parokia ya Mshindo.

Mapadri Waliohudumia Parokia ya Ipogolo

Pd Paul Msombe, 

Pd. Idelfons Kihwele, 

 Pd Sostenes KIbiki (R.I.P.), Pd. Joseph Misunza

Pd. Baptist Duma, 

Pd. David Kagombe

Pd. John Msongo (Paroko)

Wakristo Waanzilishi wa Parokia

Vigango

Parokia ina vigango vifuatavyo, Ipogolo, Kitwiru, Ndiuka

Vitongoji.

 

.

Mapadre na Watawa Wazawa

Mapadre wazawa: Pd. Leopold Mlimbo, Pd. Protas Chelula, Pd. Benjamin Mlawa.

Et ligula sit quam, sapien lorem. Nec risus lorem vestibulum mi facilisis. Tincidunt urna accumsan nec, risus fermentum.

Senectus erat sem tincidunt mi duis vehicula, est diam molestie.
Mauris in ut eget wisi, et mollis bibendum nulla, amet malesuada.