Pd. Evarist Mngulu IMC - Paroko

PAWAGA
S.L.P 133, IRINGA – Ilianza
Msimamizi wa Parokia ni Mtakatifu....
Sikukuu ni ....
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km ....
+255 621 411 847

Historia ya Parokia:

Parokia ya Pawaga kwa upande wa kaskazini magharibi ya mji wa Iringa, inapakana na parokia nne[4] ambazo ni parokia ya Migoli kwa upande wa Kaskazini,Parokia ya Idodi kwa upande wa upande wa kusini,Parokia ya Isimani kwa upande wa Mashariki na kwa upande wa Magharibi inapakana na parokia ya Manda ambayo ipo mkoani Dodoma.

Parokia ya Pawaga ina wakazi wapatao 30,000 miongoni mwao wakatoliki ni 8,500.

Madhehebu; Yapo pia madhehebu mengine kama vile Anglikana,Lutheran, Mashahidi wa Yehova,Tanzania Assemblies of God [TAG],Waislam, n.k

Kuhusu Parokia

Kuanzishwa kwa Parokia ya Pawaga

Parokia ya Pawaga ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1945 Tarehe 11/4/1954, PD.EGIDIO CREMA, alithibitishwa rasmi kuwa paroko wa kwanza wa Pawaga na mkuu wa Jimbo wa wakati ule Askofu Atilio Beltramino mnamo mwaka 1955 kwa hati rasmi iliyotolewa Tarehe 11/01/1955.

Kabla ya kuanzishwa rasmi kuwa Parokia hapo mwanzo ilikuwa sehemu ya Parokia ya Tosamaganga na palitumika kama kituo cha wamisionari katika kijiji cha Ndolela [Mbuyuni kwa sasa]. Kabla ya kuhamia Itunundumahali ilipo Parokia kwa sasa.

Mapadri Waliohudumia Parokia ya Pawaga to .....
mpaka 2021

Pd

Pd

Pd Evarist Mngulu IMC  hadi sasa

Wakristo Waanzilishi wa Parokia

Wakristo waannzilishi wa Parokia ya Pawaga

Vigango

Parokia ina vigango vifuatavyo: Pawaga,

Vitongoji.


.

Mapadre na Watawa Wazawa.

Watawa wazawa wa Parokia ya Pawaga

Et ligula sit quam, sapien lorem. Nec risus lorem vestibulum mi facilisis. Tincidunt urna accumsan nec, risus fermentum.

Senectus erat sem tincidunt mi duis vehicula, est diam molestie.
Mauris in ut eget wisi, et mollis bibendum nulla, amet malesuada.