Ofisi ya Child Protection – Iringa

Ofisi ya Child Protection Iringa inajitolea kulinda na kuhakikishia ustawi wa watoto wote katika Mkoa wa Iringa. Tunatoa huduma za ushauri, ulinzi, na usimamizi wa kesi zinazohusu haki na usalama wa watoto, kwa kushirikiana na familia, shule, jamii, na taasisi za serikali.

Huduma zetu zinajumuisha:

  • Ushauri na usaidizi wa watoto walio katika hatari

  • Kupokea na kushughulikia malalamiko ya unyanyasaji au unyanyasaji wa kijinsia

  • Ulinzi wa kisheria na msaada wa kimahakama

  • Elimu na kampeni za uhamasishaji wa haki za watoto

Ofisi yetu inafanya kazi kwa misingi ya uadilifu, uwajibikaji na heshima ya haki za watoto, kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya ukuaji salama na wenye afya.

Mawasiliano:
📍 Anuani: Ofisi ya Child Protection, Iringa
📞 Simu: +255 768 396 957
📧 Barua pepe: info@childprotectioniringa.org
🌐 Website rasmi: childprotectioniringa.org

Pichani ni watoto wakiwa katika Siku ya Mtoto wa Africa. Maelezo zaidi click hapa