Pd. Chesco Myinga - Paroko

ITENGULE (MALANGALI)
S.L.P. 1, MALANGALI
Parokia ilianza Mwaka 1933
Msimamizi wa Parokia ni Mt. Yosefu Mfanyakazi.
Sikukuu ni tarehe 01/05
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km 164.
+255 754 983 546

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2

Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njooni mbele zake kwa kuimba. Zaburi 100:2