Education Office

Kanisa katoliki linatambua kwamba kila binadamu ana haki ya msingi ya kupata elimu makini bila kujali itikadi za kisiasa, kidini, kijinsia, kabila au taifa.

Education Cordinator

Jimbo la Iringa lina jumla ya taasisi 61 za elimu ikiwa shule za awali ni 22 Msing ni 9, sekondari ni 18, seminari 3, vyuo vya ufundi ni 8, na chuo cha kilimo na mifugo 1.

Utangulizi

Ni ukweli usiopingika kuwa kanisa Katoliki Tanzania limekuwa kati ya wadau wakubwa wa maendeleo katika sekta ya elimu kabla na baada ya uhuru katika taifa letu. Mchango wa kanisa Katoliki katika utoaji wa huduma ya elimu umekuwa kuanzia shule za chekechea, awali, msingi, sekondari, vyuo vya ufundi stadi hadi elimu ya juu.

Kanisa katoliki linatambua kwamba kila binadamu anahaki ya msingi ya kupata eelimu makini bila kujali itikadi za kisiasa, kidini, kijinsia, kabila au taifa. Lengo kuu la elimu Katoliki ni kumfunda mtu mzima; kiakili, kimwili, kiroho, kijamii na kimaadili, kwa kufanya hivyo, shule za kikatoliki zinawaanda vijana wa kike na kiume kwa kesho iliyo bora zaidi.

pm

Rev. Prof. Pius Peter Mgeni

– Katibu wa Elimu Jimbo la Iringa.

Orodha ya Taasisi za Elimu

1. Shule za Chekechea na Awali

Jumla ya Shule za Awali ni 22.

2. Shule za Msingi

Jumla ya Shule za Msingi ni 9

3. Shule za Sekondari

Jumla ya Shule za Sekondari ni 18

4. Shule ya Seminari

Jumla ya Shule za Seminari ni 3

5. Vyuo vya Ufundi, Kilimo na Ufugaji

Jumla ya Vyuo vya ufundi ni 8, na Chuo cha Kilimo na Ufungaji ni 1.

6. Elimu ya Juu

Idadi ya Vyuo vikuu ni 1.

small efforts make big change