Jina la Paroko: Pd. Fulbert Ngonyani

Anuani ya Parokia: 
S.L.P 170 IRINGA,
Parokia ya Mkwawa Ilianzishwa
Sikukuu ya msimamizi ni
Msimamizi ni
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km
+255
Email:

Kuanzishwa kwa Parokia:

Ofisi 

Kuhusu Parokia

Kuanzishwa kwa Parokia ya Nduli

Mnamo mwaka 2020

Parokia ilizaliwa kutoka Parokia ya Kihesa

Mapadri Waliohudumia Parokia ya Nduli Toka 2020 -2021

Mnamo mwaka 2020

Paroko wa kwanza Pd. Paptist Kiwale na Paroko Msaidizi Pd. Julius Masenya

Wakristo Waanzilishi wa Parokia

Vigango

Parokia ina vigango vifuatavyo, Nduli, Kiwanja cha Ndege, Igingilanyi, Itagutwa, Kising’a, Kinywang’anga, Mgongo, Kisowele, Kipululu, Ngongwa

Vitongoji.

 

.

Mapadre na Watawa Wazawa.

Pd. Alfred Msanzi, Sr. Elizabeth Mahega, Sr. Gloria Sanga, Sr. Mbeju, Sr. Margarita Chando