Shule za awali.
- CONSOLATA NURSERY
Shule inamilikiwa na Shirika la Watawa Wamisionari Consolta na inapatikana Gangilonga, namba za mawasiliano 0674596073.
- ALFONCE NURSERY
Shule inapatikana Parokia ya IHIMBO, namba yake ya usajili ni EA, namba za mawasiliano 0744892963.
- ST JEROME NURSERY
Shule inapatikana Parokia ya Tosamaganga, namba ya mawasiliano 0762878243
- JOSEPH NURSERY
Shule inapatikana Parokia ya Ipogolo.
.
