Jina la Paroko: Pd. Fulbert Ngonyani
Anuani ya Parokia: KONSOLATA
S.L.P 170 IRINGA,
Parokia ya Mkwawa Ilianzishwa
Sikukuu ya msimamizi ni
Msimamizi ni
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km
+255
Email:
Historia ya Parokia:
Parokia ilianza 2008 iko upande wa magharibi iringa kutoka jimbo iko umbali wa kilomenta saba, parokia inaitwa hivyo kwani ni kumbukumbu ya kiongozi mashuhuri wa wahehe ambaye aliitwa Mkwavinyika kifupi Mkwava. Makabila yanayopatikana katika parokia hii ni mengi kati yao ni wahehe, wabena, wachaga, wangoni, wanyakyusa, wakinga na wahaya. Kabila lenye watu wengi ni wahehe.
Kuhusu Parokia
Kuanzishwa kwa Parokia ya MKWAWA
Parokia ilianzishwa tarehe 17 agosti 2009 mwanzilishi ni padre Mwangi Samwel Walui wa shirika la wasalesiliani wa DonBosco mwanzilishi padre Mwangi Samwel alikuwa mlezi katika chuo cha DonBosco training centre iringa. Kabda ya hapo alikuwa mlezi katika seminali dogo ya DonBosco Mafinga.
Mapadri Waliohudumia Parokia ya Mkwawa Toka ... -2021
Pd Stephen
Wakristo Waanzilishi wa Parokia
Waamini wa kigango cha Mkwawa, parokia ya Bikira Maria Consolata
Vigango
Parokia ina vigango vitatu: MKWAWA, MAWELEWELE na MGERA
Vitongoji.
.
Mapadre na Watawa Wazawa.
Pd. Herman Myala
Et ligula sit quam, sapien lorem. Nec risus lorem vestibulum mi facilisis. Tincidunt urna accumsan nec, risus fermentum.
Mauris in ut eget wisi, et mollis bibendum nulla, amet malesuada.
