Shule za sekondari.

  1. Cagrielo girls, shule ina namba za usajili S.242,ipo maeneo ya Ipogolo, mawasiliano 0753017625. Ilianzishwa mwaka 1984.
  2. Consolata Iringa, shule inamilikiwa na Wamisionari Waconsolata, ipo maeneo ya Isakalilo namba zake za usajili ni 3860, mawasiliano 0768902933. Ilianzishwa mwaka 2007.
  3. Maria Consolata, shule inamilikiwa na Masista Wamisionari Waconsolata, ipo maeneo ya Nyota ya asubuhi Kilolo, namba ya usajili ni S. 3529, mawasiliano 0767092502. Ilianzishwa mwaka 2006.
  4. San Giovanni Paolo, shule ipo Parokia ya Kitanewa, namba ya usajili S.5597, mawasiliano 0769755214. Ilianzishwa mwaka 2021.
  5. SCIM POLYTECHNIC, shule inamilikiwa na Mabrother Bikira Maria Imakulate (SCIM BROTEHRS), ipo maeneo ya Don Bosco, mawasiliano 0757688374. Ilianzishwa mwaka 2011.
  6. Dominic Savio, namba ya usajili S. 4817, mawasiliano 0736492953, ipo maeneo ya Tosamaganga. Ilianzishwa mwaka 2014.
  7. Dominic Savio Kigonzile, shule ina namba yake ya usajili ni S. 5242,ipo maeneo ya Kigonzile, mawasiliano 0762558833. Ilianzishwa mwaka 2019.
  8. James Kilolo, shule ipo maeneo ya Parokia ya Kilolo, namba ya usajili S.4401, mawasiliano 0758378301. Ilianzishwa mwaka 2011.
  9. John Paul II, shule inamilikiwa na Masista wa Mt. Teresia Mtoto Yesu, ipo maeneo ya Nyamahana, mawasiliano 0746113135. Ilianzishwa mwaka 2019.
  10. Joseph Ipogolo,shule inamilikiwa na Parokia ya Ipogolo, namba ya usajili S. 4432, mawasiliano 0757680499. Ilianzishwa mwaka 2011.
  11. Mary’s Ulete, shule ipo Parokia ya Ulete namba za usajili S.3569, mawasiliano 0673316931. Ilianzishwa mwaka 2006.
  12. Monica Wasa, shule ipo Parokia ya Wasa namaba ya usajili S. 5202, mawasiliano 0627817876. Ilianzishwa mwaka 2019.
  13. Therese Mibikimitali, shule inamilikiwa na Masista wa Mt. Teresia Mtoto Yesu, mawasiliano 0622344875. Ilianzishwa mwaka 2013.
  14. Thomas Nyabula, shule ipo Parokia ya Nyabula, namba ya usajili S. 4272, mawasiliano 0764873602. Ilianzishwa mwaka 2012.
  15. Vianey, shule ipo Senta ya Vijana Kichangani, namba ya usajili P 2835, mawasiliano 0766899202.

.