Call Us:+255 752 84 02 70
CHIMBUKO LA JINA IPOGOLO
Mnamo mwaka 1996 baada ya waamini kuongezeka parokia ilizaliwa kutoka Parokia ya Bikira Maria Consolata – Mshindo
Pd Paul Msombe,
Pd. Idelfons Kihwele,
Pd Sostenes KIbiki (R.I.P.), Pd. Joseph Misunza
Pd. Baptist Duma,
Pd. David Kagombe
Pd. John Msongo (Paroko)
Parokia ina vigango vifuatavyo, Ipogolo, Kitwiru, Ndiuka
.
Mapadre wazawa: Pd. Leopold Mlimbo, Pd. Protas Chelula, Pd. Benjamin Mlawa.