Jina la Paroko: Pd. Fulbert Ngonyani

Anuani ya Parokia: 
S.L.P 170 IRINGA,
Parokia ya Mkwawa Ilianzishwa
Sikukuu ya msimamizi ni
Msimamizi ni
Umbali toka Makao Makuu ya Jimbo ni Km
+255
Email:

Kuanzishwa kwa Parokia:

Ofisi ya kiroho ilianzishwa mwaka 2005 mwezi septemba ikienda sambamba na uanzishwaji wa chuo kishiriki cha mtakatifu Agustino Ruaha. Ofisi ya kiroho imekuwa ikitoa huduma za kiroho kwa wanafunzi na wafanyakazi wakatoriki. Pia ofisi imekuwa ikiratibu shuguli zote za kiroho kwa dini zote hapa chuoni. Padre wa kwanza ambaye ndiye mwazilishi wa ofisi hii alikuwa na padre Christopher zulu nyoni wa jimbo la Mbeya kutokana na majukumu mengine aliyokuwa nayo hapa chuoni aliombwa kukahimu mpaka hapo askofu atakapompata padre ambaye atafanya kazi hiyo muda wote.

Orodha ya Vyuo Vikuu

1. Ruaha Catholic University
2. University of Iringa
3. Mkwawa University College of Education

Imeanzishwa:

Vyuo vya Elimu ya Juu.

Jumla ya idadi ni