Seminari ya Tosamaganga
Seminari ya Tosamaganga ni taasisi maalumu inayotoa malezi kwa vijana waliohitimu kidato cha sita. Seminari inawaandaa vijana kwa mafunzo ya kiroho na kimaadili, huku wakijiandaa kuendeleza masomo yao katika vyuo vikuu mbalimbali.
Seminari hii inalenga kukuza uelewa wa kiroho, nidhamu, na maadili mema miongoni mwa vijana, na kuwaandaa kwa changamoto za maisha ya kimasomo na kijamii.
Mawasiliano:
📍 Anuani: Tosamaganga, Iringa
📞 Simu: +255 764 776 461
📧 Barua pepe: info@dioceseofiringa.org
.
