Shule za sekondari.
- Cagrielo girls, shule ina namba za usajili S.242,ipo maeneo ya Ipogolo, mawasiliano 0753017625. Ilianzishwa mwaka 1984.
- Consolata Iringa, shule inamilikiwa na Wamisionari Waconsolata, ipo maeneo ya Isakalilo namba zake za usajili ni 3860, mawasiliano 0768902933. Ilianzishwa mwaka 2007.
- Maria Consolata, shule inamilikiwa na Masista Wamisionari Waconsolata, ipo maeneo ya Nyota ya asubuhi Kilolo, namba ya usajili ni S. 3529, mawasiliano 0767092502. Ilianzishwa mwaka 2006.
- San Giovanni Paolo, shule ipo Parokia ya Kitanewa, namba ya usajili S.5597, mawasiliano 0769755214. Ilianzishwa mwaka 2021.
- SCIM POLYTECHNIC, shule inamilikiwa na Mabrother Bikira Maria Imakulate (SCIM BROTEHRS), ipo maeneo ya Don Bosco, mawasiliano 0757688374. Ilianzishwa mwaka 2011.
- Dominic Savio, namba ya usajili S. 4817, mawasiliano 0736492953, ipo maeneo ya Tosamaganga. Ilianzishwa mwaka 2014.
- Dominic Savio Kigonzile, shule ina namba yake ya usajili ni S. 5242,ipo maeneo ya Kigonzile, mawasiliano 0762558833. Ilianzishwa mwaka 2019.
- James Kilolo, shule ipo maeneo ya Parokia ya Kilolo, namba ya usajili S.4401, mawasiliano 0758378301. Ilianzishwa mwaka 2011.
- John Paul II, shule inamilikiwa na Masista wa Mt. Teresia Mtoto Yesu, ipo maeneo ya Nyamahana, mawasiliano 0746113135. Ilianzishwa mwaka 2019.
- Joseph Ipogolo,shule inamilikiwa na Parokia ya Ipogolo, namba ya usajili S. 4432, mawasiliano 0757680499. Ilianzishwa mwaka 2011.
- Mary’s Ulete, shule ipo Parokia ya Ulete namba za usajili S.3569, mawasiliano 0673316931. Ilianzishwa mwaka 2006.
- Monica Wasa, shule ipo Parokia ya Wasa namaba ya usajili S. 5202, mawasiliano 0627817876. Ilianzishwa mwaka 2019.
- Therese Mibikimitali, shule inamilikiwa na Masista wa Mt. Teresia Mtoto Yesu, mawasiliano 0622344875. Ilianzishwa mwaka 2013.
- Thomas Nyabula, shule ipo Parokia ya Nyabula, namba ya usajili S. 4272, mawasiliano 0764873602. Ilianzishwa mwaka 2012.
- Vianey, shule ipo Senta ya Vijana Kichangani, namba ya usajili P 2835, mawasiliano 0766899202.
.
