Maaskofu na Mapadre -
Jimbo la Iringa
Si ninyi mlionichangua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi . Yn 15, 16
Maaskofu
Askofu Attilio Betramino, I.M.C
Askofu wa Kwanza, 1935/1965.
In Deo meo transgrediar murum
Nikimtegemea Mungu wangu nitapanda na kupita mbele ya boma
Askofu Mkuu Mario A. Mgulunde
Askofu wa Pili, 1970/1985.
Mungu ni ngao na ngome yangu
Askofu Mkuu Nobert W. Mtega
Askofu wa Tatu, 1985/1992.
In fide et lenitate
Kwa imani na upole
Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa.
Askofu wa Nne, 1992 to present.
Uweza watoka Juu.
Mapadri jimbo la Iringa
Kuanzia mwaka 1945 - 2023
P. Philip Mihafu
Upadrisho Nyabula, 15/08/1959. Kurudi kwa Baba 27/02/1999.
Askofu Magnus Lunyungu
Upadrisho Wasa, 23/08/1959. Kurudi kwa Baba 13/02/2015.
P. Andreas Kalinga
Upadrisho Malangali, 13/08/1961. Kurudi kwa Baba 05/03/2000.
P. Andreas Mgonukulima
Upadrisho Tosamaganga, 15/08/1961. Kurudi kwa Baba 30/09/2007.
P. Bonifas Lalika
Upadrisho Iringa, 08/04/1962. Kurudi kwa Baba 09/04/2000.
Askofu Mkuu Mario A. Mgulunde
Upadrisho Iringa, 08/04/1962. Kurudi kwa Baba 14/03/2006.
P. Maurilio Sanga
Upadrisho Tosamaganga, 08/03/1964. Kurudi kwa Baba 20/09/2011.
P. Gaudenzio Msongo
Upadrisho Roma, 22/12/1966. Kurudi kwa Baba 27/12/1997.
P. Cosmas Mtekere
Upadrisho Tosamaganga, 09/07/1967. Kurudi kwa Baba 26/09/2000.
P. Joseph Mhegere
Upadrisho Tosamaganga, 09/07/1967. Kurudi kwa Baba:
P. Julian Kangalawe
Upadrisho Mdabulo, 25/05/1969.
P. Benedicto Kangalawe
Upadrisho Makalala, 10/05/1970. Kurudi kwa Baba, 08/08/1998.
P. Francis Mdemu
Upadrisho Makalala, 10/05/1970. Kurudi kwa Baba, 03/05/2001.
P. Amadeus Mkune
Upadrisho Ujewa, 11/10/1970. Kurudi kwa Baba, 29/10/1998.
P. Andreas Mbunju
Upadrisho Malangali, 18/10/1970.
P. Askofu Evaristo Chengula
Upadrisho Kibao-Mundi, 25/10/1970. Kurudi kwa Baba, 21/11/2018.
P. Benedict Nganung'a
Upadrisho Kibao-Mundi, 25/10/1970. Kurudi kwa Baba, 08/02/2001.
Askofu Tarcisius J. M. Ngalalekumtwa
Upadrisho Camerino, 07/04/1973.
P. Alphonce Mhamilawa
Upadrisho Kihesa, 10/11/1974. Kurudi kwa Baba, 26/04/2013.
P. Gervas Mwogofi
Upadrisho Roma, 29/06/1975. Kurudi kwa Baba, 29/05/2012.
Et ligula sit quam, sapien lorem. Nec risus lorem vestibulum mi facilisis. Tincidunt urna accumsan nec, risus fermentum.
Mauris in ut eget wisi, et mollis bibendum nulla, amet malesuada.