Zaidi ya watoto 700 wabatizwa Parokia ya Kihesa
Zaidi ya watoto 700 kutoka katika vigango saba (7) vya Parokia ya Kihesa Jimbo Katoliki la Iringa wamepatiwa sakramenti ya nubatizo kwenye Kanisa Kuu la Moyo Mt. wa Yesu Parokia ya Kihesa. Misa hiyo ya ubatizwa imeadhimishwa kwenye viwanja vya parokia hiyo Dominika ya Sikukuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ambaye ni msimamizi wa Jimbo…