Adhimisho La Kilele Cha Yubilei Ya Miaka 125 Ya Uinjilishaji Iringa Na Miaka 50 Ya Upadre Wa Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa
|

Adhimisho La Kilele Cha Yubilei Ya Miaka 125 Ya Uinjilishaji Iringa Na Miaka 50 Ya Upadre Wa Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa

Walioongoza Jimbo la Iringa Historia Ya Baba Askofu Mhashamu Tarcisius J.M Ngalalekumtwa Askofu Tarcisius J.M Ngalalekumtwa alizalkiwa tarehe 25.10.1948 katika kijiji cha Banawanu kilichopo Parokiani Tosamaganga. Wazazi wake ni Joseph Ngalalekumtwa na Mama ni Magdalena Sekutika. Alibatizwa Parokiani Tosamaganga tarehe 15.11.1956. na siku hiyo alipewa Sakramenti ya Kipaimara na Mhasahamu Askofu Attilio Betramino, I.M.C na…

Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa Jubilei Miaka 50 ya Daraja Takatifu ya Upadre

Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa Jubilei Miaka 50 ya Daraja Takatifu ya Upadre

Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa anawaalika Mapadre kumtazama na kumtafakari Kristo Yesu aliyejitoa kama: Mwalimu, Mchungaji na Kiongozi, akaonesha uaminifu, utii na upendo usiokuwa na mipaka kwa waja wake. Uaminifu wa Kristo uwe ni changamoto ya uaminifu wa Mapadre unaojionesha kwa namna ya pekee katika: upendo, unyofu, unyenyekevu, huruma na huduma makini kwa watu wa Mungu….

Masista Wamisionari Waconsolata Kuadhimisha Jubilei Ya Miaka 100 Tanzania Januari 30,2023

Masista Wamisionari Waconsolata Kuadhimisha Jubilei Ya Miaka 100 Tanzania Januari 30,2023

Masista wa Shirika Kitawa Bikira Maria Consolata (M.C) ifikapo Januari 30,2023 wataadhimisha Jubilei ya miaka 100 ya Shirika lao tokea wafike nchi ya Tanzania. Akiongea na Kiongozi hivi karibuni Mama Mkuu upande wa malezi kwa nchi ya Tanzania Sr. Hortensia Damian (M.C) amesema kuwa, shirika hilo lilianzishwa mwaka 1910 nchi ya Italia Torino na Mwenye…