Jimbo Katoliki Iringa lapata Mashemasi watatu (3)
ASKOFU Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki la Iringa ametoa daraja Takatifu la ushemasi kwa mafrateli 3 wa jimbo hilo na kuwataka kuwa wacha Mungu, wanyenyekevu, wasafi na wenye roho ya huruma. Misa ya kutoa daraja hilo imefanyika katika Kanisa la Kiaskofu la Moyo Mt. wa Yesu Parokia ya Kihesa na kuhudhuriwa na mapadre, watawa kike…