Jimbo Katoliki la Iringa lapata mapadre wapya wanne (4) .
Daraja Takatifu la Upadrisho limetolewa na Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki la Iringa ambako ibada imefanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu la Moyo Mt. Wa Yesu Parokia ya Kihesa, siku ya Alhamisi tarehe 26, Agosti 2021. Adimisho hilo lilitanguliwa na ibada ya masifu jioni ambapo mashemasi hao waliweka viapo siku…