Maadhimisho ya Misa ya Kuwaombea Marehemu
Askofu Tarcicius Ngalalekumtwa, amewaongoza waamini wa jimbo la Iringa katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu maaskofu, mapadre watawa wa kike na kiume pamaja na waamini walei wa Jimbo. Misa hiyo imefanyika kwenye kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu Parokia ya Tosamaganga, na mara baada ya Misa hiyo askofu Ngalalekumtwa pamoja na baadhi ya mapadre wameyabariki…